JORDAN UNIVERSITY COLLEGE [JUCo]

A Constituent College of St. Augustine University of Tanzania

P.O.Box 1878 Morogoro, Tanzania, Email : info@juco.ac.tz, Mobile : +255 717 781 455 / 783 659 567 / 765 660 606
DIRISHA LA MAOMBI YA UDAHILI KWA NGAZI SHAHADA YA KWANZA AWAMU YA NNE LIMEFUNGULIWA (TAREHE 1 HADI 4 OKTOBA, 2019).

Date Posted : 2019-10-01 at 01:09:25am

Jordan University College (JUCo) inapenda kuwakaribisha wale wote wanaopenda kujiunga kwa masomo ya Shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2019/2020. JUCo inatoa Shahada zifuatazo:-

 1. Bachelor of Accounting and Finance
 2. Bachelor of Arts in Economics
 3. Bachelor of Arts in Education with Religious Studies (Christianity)
 4. Bachelor of Arts in Philosophy
 5. Bachelor of Arts in Theology
 6. Bachelor of Arts with Education
 7. Bachelor of Business Administration (Entrepreneurship)
 8. Bachelor of Business Administration (Marketing)
 9. Bachelor of Business Administration (Procurement)
 10. Bachelor of Laws (LLB)
 11. Bachelor of Science in Psychology & Counseling
 12. Bachelor of Library Information Studies & Records Management

Fanya maombi kupitia tovuti yetu ya chuo http://www.juco.ac.tz Kwa mawasiliano zaidi waweza wasiliana nasi kwa simu hizi;

+255717781455,
+255783659567,
+255765660606.